Ufafanuzi wa hota katika Kiswahili

hota

kitenzi elekezi

  • 1

    ganga mwanamke kwa namna fulani ili apate kuzaa.

  • 2

    ganga mtoto ili aote meno upesi zaidi.

Matamshi

hota

/hɔta/