Ufafanuzi wa hudhuria katika Kiswahili

hudhuria

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    kuwako mahali penye shughuli fulani k.v. mkutanoni, mazikoni au kwenye sherehe.

Asili

Kar

Matamshi

hudhuria

/huðurija/