Ufafanuzi wa hudhurungi katika Kiswahili

hudhurungi

nomino

  • 1

    rangi ya maji ya kunde.

    kahawia

  • 2

    kitambaa cha rangi hiyo kinachotumika kushonea kanzu.

Asili

Kar

Matamshi

hudhurungi

/huĂ°urungi/