Ufafanuzi wa hudihudi katika Kiswahili

hudihudi

nominoPlural hudihudi

  • 1

    ndege mwenye milia ya kahawia na myeupe na mdomo mrefu.

Matamshi

hudihudi

/hudihudi/