Ufafanuzi wa huisha katika Kiswahili

huisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia uhai au uzima.

    fufua

  • 2

    fufua jambo k.v. mradi au shughuli iliyokuwa imesimama.

Matamshi

huisha

/huI∫a/