Ufafanuzi msingi wa hujambo katika Kiswahili

: hujambo1hujambo2

hujambo1

kiingizi

 • 1

  neno la salamu katika muundo wa swali linalotumika kuulizia hali ya mtu mwingine.

  ‘Hujambo?’
  shufaa

Matamshi

hujambo

/huʄambɔ/

Ufafanuzi msingi wa hujambo katika Kiswahili

: hujambo1hujambo2

hujambo2

nomino

 • 1

  ‘Mgonjwa amepata hujambo leo’
  nafuu

Matamshi

hujambo

/huʄambɔ/