Ufafanuzi wa hujuma katika Kiswahili

hujuma

nomino

  • 1

    vamio
    and → shambulio

  • 2

    tendo la kuharibu au kuvuruga mali au maendeleo ya mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

hujuma

/huʄuma/