Ufafanuzi wa hujumu katika Kiswahili

hujumu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    shambulia mtu au nchi kwa ghafla; ingia kwa nguvu.

    hamia, vamia

  • 2

    haribu, vuruga, buruga

Asili

Kar

Matamshi

hujumu

/huʄumu/