Ufafanuzi wa huka katika Kiswahili

huka

nominoPlural huka

  • 1

    chombo kinachotumiwa na masonara kupulizia moto kwa mdomo.

Matamshi

huka

/huka/