Ufafanuzi msingi wa hukumu katika Kiswahili

: hukumu1hukumu2

hukumu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  toa uamuzi kwenye kesi au daawa.

  amua

 • 2

  tumia mamlaka.

  amuru, amrisha

Asili

Kar

Matamshi

hukumu

/hukumu/

Ufafanuzi msingi wa hukumu katika Kiswahili

: hukumu1hukumu2

hukumu2

nominoPlural hukumu

 • 1

  uamuzi unaotolewa na hakimu katika kesi au daawa.

 • 2

  ‘Hukumu ya serikali’
  amri, agizo, dikrii

Asili

Kar

Matamshi

hukumu

/hukumu/