Ufafanuzi wa hundi katika Kiswahili

hundi

nominoPlural hundi

  • 1

    cheti maalumu cha benki kinachotumiwa kuidhinisha aliyetajwa kwenye cheti hicho apewe fedha za mwenye hesabu; hati ya fedha.

    hawala, cheki

Asili

Khi

Matamshi

hundi

/hundi/