Ufafanuzi wa huni katika Kiswahili

huni

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  fanya vitendo vya kuchukiza na visivyo vya kistaarabu.

 • 2

  zururazurura jiani na kuwasumbua watu na kufanya vitendo vibaya.

  randaranda

 • 3

  ondoka mahali pako bila ya kupapita tena; hama kabisa.

  ‘Ameuhuni mji huu’

 • 4

  acha upande wa marafiki na kujiunga na maadui.

  asi

 • 5

  acha kwenda mahali fulani.

  goma, susa

Asili

Kar

Matamshi

huni

/huni/