Ufafanuzi wa hurafa katika Kiswahili

hurafa

nominoPlural hurafa

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    hadithi ambazo wahusika wake ni wanyama wanaopewa tabia na vitendo vya kibinadamu.

Asili

Kar

Matamshi

hurafa

/hurafa/