Ufafanuzi wa huru katika Kiswahili

huru

kivumishi

 • 1

  -siyotawaliwa au kuwa chini ya himaya au amri ya mwingine; -enye uhuru.

  ‘Nchi huru’
  ‘Umoja wa nchi huru za Afrika’
  ‘Fulani ni huru’
  huria

Asili

Kar

Matamshi

huru

/huru/