Ufafanuzi wa hurulaini katika Kiswahili

hurulaini

nominoPlural mahurulaini

Kidini
  • 1

    Kidini
    wanawake wazuri wanaosadikiwa kuwa huishi peponi.

Asili

Kar

Matamshi

hurulaini

/hurulaIni/