Ufafanuzi wa hurumia katika Kiswahili

hurumia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    onea imani; fanyia huruma.

Asili

Kar

Matamshi

hurumia

/hurumija/