Ufafanuzi wa husika katika Kiswahili

husika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    rejelea jambo lililotajwa.

    ‘Husika na somo lililotajwa juu’

  • 2

    kuwa mshirika katika tendo fulani.

    ‘Mlinzi anahusika na wizi wa gari’

Asili

Kar

Matamshi

husika

/husika/