Ufafanuzi wa husuda katika Kiswahili

husuda

nomino

  • 1

    mtazamo wa ubaya juu ya mtu na mali yake; tabia ya mtu kutopendezwa au kutofurahia mafanikio ya mwingine; jicho baya.

    fakachi, wivu, uhasidi

Asili

Kar