Ufafanuzi wa huyu katika Kiswahili

huyu

kiwakilishi

  • 1

    neno linalotaja mtu, mnyama, mdudu n.k. aliye karibu na mzungumzaji.

    ‘Mdudu huyu’

Matamshi

huyu

/huju/