Ufafanuzi wa huzuni katika Kiswahili

huzuni

nominoPlural huzuni

  • 1

    hali ya kuwa na masikitiko au majonzi.

    ‘Ona/Kuwa na/Ingiwa na/Patwa na huzuni’
    jitimai, buka, chonda, ghamu, sikitiko, kikaka, majonzi, sijiko, simanzi, msiba

Asili

Kar

Matamshi

huzuni

/huzuni/