Ufafanuzi wa huzunika katika Kiswahili

huzunika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa katika hali ya masikitiko au majonzi.

    sikitika

  • 2

    ona haya au aibu.

Asili

Kar

Matamshi

huzunika

/huzunika/