Ufafanuzi wa ibia katika Kiswahili

ibia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    chukua kazi ya mtu kwa siri kwa kunakili au kutazama.

    ‘Mwanafunzi anaibia hesabu’

Matamshi

ibia

/Ibija/