Ufafanuzi msingi wa ibilisi katika Kiswahili

: ibilisi1ibilisi2

ibilisi1

nominoPlural mibilisi, Plural ibilisi

  • 1

    shetani mkubwa miongoni mwa majini.

    shetani, mjanja, mkorofi

Ufafanuzi msingi wa ibilisi katika Kiswahili

: ibilisi1ibilisi2

ibilisi2

nominoPlural mibilisi, Plural ibilisi

  • 1

    mtu mkorofi; mtu mjanja; mshawishi wa mambo maovu.

    shetani

Asili

Kar

Matamshi

ibilisi

/Ibilisi/