Ufafanuzi msingi wa ibra katika Kiswahili

: ibra1ibra2

ibra1

nominoPlural ibra

 • 1

  kitu au tukio la ajabu, hasa lenye funzo linapozingatiwa.

 • 2

  maneno au maelezo yanayotahadharisha mtu ili asifanye jambo ambalo mwishowe linaweza kumdhuru; maonyo.

  mafundisho

Asili

Kar

Matamshi

ibra

/Ibra/

Ufafanuzi msingi wa ibra katika Kiswahili

: ibra1ibra2

ibra2

nominoPlural ibra

 • 1

  chombo cha kuchorea duara katika hesabu za maumbo.

  bikari

Asili

Kar

Matamshi

ibra

/Ibra/