Ufafanuzi wa idadi katika Kiswahili

idadi

nominoPlural idadi

  • 1

    jumla ya vitu au mambo yanayohesabika.

    ‘Idadi ya watu’
    hesabu, jumla

Asili

Kar

Matamshi

idadi

/Idadi/