Ufafanuzi wa idhilali katika Kiswahili

idhilali

nominoPlural idhilali

  • 1

    hali ya kuwa na mateso na unyonge.

Asili

Kar

Matamshi

idhilali

/Iðilali/