Ufafanuzi msingi wa ifu katika Kiswahili

: ifu1ifu2

ifu1

nomino

 • 1

  jivu

 • 2

  salio, baki, sazo, kisaa

Matamshi

ifu

/Ifu/

Ufafanuzi msingi wa ifu katika Kiswahili

: ifu1ifu2

ifu2

nomino

 • 1

  jina la heshima agh. analoitwa mwanamke wa kisharifu.

  ‘Maifu, Biifu , Bimaifu’

Matamshi

ifu

/Ifu/