Ufafanuzi wa ihramu katika Kiswahili

ihramu

nominoPlural ihramu

Kidini
  • 1

    Kidini
    vipande viwili virefu vya vitambaa vyeupe vinavyovaliwa tokea begani mpaka kiunoni na tokea kiunoni hadi miguuni na mahujaji wakati wa kufanya ibada ya Haji au Umra huko Makka.

Asili

Kar

Matamshi

ihramu

/Ihramu/