Ufafanuzi wa Ijumaa katika Kiswahili

Ijumaa

nomino

  • 1

    siku ya saba katika juma kuanzia Jumamosi.

Asili

Kar

Matamshi

Ijumaa

/IÊ„uma:/