Ufafanuzi msingi wa ikama katika Kiswahili

: ikama1ikama2

ikama1

nominoPlural ikama

  • 1

    idadi ya watumishi inayohitajika katika idara.

Asili

Kar

Matamshi

ikama

/Ikama/

Ufafanuzi msingi wa ikama katika Kiswahili

: ikama1ikama2

ikama2

nominoPlural ikama

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwito maalumu unaoshabihiana sana na adhana, unaotamkwa na mwadhini baada ya adhana kuwataka watu waliofika kusali sala ya jamaa wakae tayari ili wasali.

Asili

Kar

Matamshi

ikama

/Ikama/