Ufafanuzi wa ikibali katika Kiswahili

ikibali

nominoPlural ikibali

  • 1

    muamana wa kutenda jambo.

    ukubalifu, ridhaa

  • 2

    ruhusa, idhini

Asili

Kar

Matamshi

ikibali

/Ikibali/