Ufafanuzi wa ikiza katika Kiswahili

ikiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    panga k.v. miti juu ya dari.

    ‘Ikiza nyumba boriti’
    lalisha, laza, tandaza

Matamshi

ikiza

/Ikiza/