Ufafanuzi wa iktisadi katika Kiswahili

iktisadi

nominoPlural iktisadi

  • 1

    uangalifu katika kutumia mali, fedha, vitu, n.k..

    uwekevu

  • 2

    ‘Iktisadi ya nchi’
    uchumi

Asili

Kar

Matamshi

iktisadi

/Iktisadi/