Ufafanuzi wa ikwinoksi katika Kiswahili

ikwinoksi

nomino

  • 1

    siku mlingano ambapo jua huvuka mstari wa ikweta na usiku na mchana huwa sawa.

Asili

Kng

Matamshi

ikwinoksi

/Ikwinɔksi/