Ufafanuzi wa ilani katika Kiswahili

ilani

nominoPlural ilani

 • 1

  tangazo hususan la kuonya watu kuhusu jambo au kitendo fulani.

  ‘Ilani ya serikali’
  tangazo

 • 2

  tangazo la mipango au madhumuni ya chama cha siasa, hasa wakati wa uchaguzi.

  ‘Ilani ya Chama’
  manifesto

Asili

Kar

Matamshi

ilani

/Ilani/