Ufafanuzi wa iliya katika Kiswahili

iliya

kitenzi elekezi

  • 1

    tembelea au jia mtu.

    ‘Wageni wameniiliya nyumbani kwangu’

Matamshi

iliya

/Ilija/