Ufafanuzi wa imbisha katika Kiswahili

imbisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    ongoza watu waimbe.

Matamshi

imbisha

/Imbi∫a/