Ufafanuzi msingi wa imla katika Kiswahili

: imla1imla2

imla1

nominoPlural imla

  • 1

    somo la kupima uwezo wa mtu kuandika kwa usahihi maneno anayoyasikia.

Asili

Kar

Matamshi

imla

/Imla/

Ufafanuzi msingi wa imla katika Kiswahili

: imla1imla2

imla2

nominoPlural imla

  • 1

    ‘Nchi nyingi duniani zinaanzisha siasa za mfumo wa vyama vingi ili kuondoa tatizo la serikali za kiimla’

Matamshi

imla

/Imla/