Ufafanuzi wa ingawaje katika Kiswahili

ingawaje

kiunganishi

  • 1

    hata kama iweje au iwe vipi.

Matamshi

ingawaje

/Ingawaʄɛ/