Ufafanuzi wa ingilia katika Kiswahili

ingilia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

 • 1

  ingia kati ya ugomvi, mazungumzo, n.k..

  ‘Ingilia ugomvi wa watu’
  jitia, jidukiza, hanikiza

 • 2

  amua watu wawili walioshindana au waliogombana.

  suluhisha

 • 3

  fanya kitendo cha kujamii.

  ‘Ingilia mwanamke’
  tomba

Matamshi

ingilia

/Ingilija/