Ufafanuzi wa ini katika Kiswahili

ini

nominoPlural mini

  • 1

    kiungo kilichomo ndani ya mwili wa mnyama ambacho hutoa nyongo na kubadilisha glukosi kuwa glukojeni na kuihifadhi mpaka itakapohitajika.

Matamshi

ini

/Ini/