Ufafanuzi wa inika katika Kiswahili

inika

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya ielekee chini k.v. tawi la mti.

    ‘Inika mzigo’
    ‘Inika kichwa’
    inamisha

Matamshi

inika

/Inika/