Ufafanuzi wa insafu katika Kiswahili

insafu

nominoPlural insafu

  • 1

    nia nzuri au moyo safi.

    ‘Fanya insafu’
    ‘Kuwa na insafu’
    lilahi, uadilifu, haki

Asili

Kar

Matamshi

insafu

/Insafu/