Ufafanuzi msingi wa ipi katika Kiswahili

: ipi1ipi2

ipi1

nominoPlural ipi

  • 1

    pigo la kiganja cha mkono.

    kofi, kibao

Matamshi

ipi

/Ipi/

Ufafanuzi msingi wa ipi katika Kiswahili

: ipi1ipi2

ipi2

nominoPlural ipi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    ubao uliochongwa na kunakshiwa ulio katika gubeti ya jahazi na mashua.

Matamshi

ipi

/Ipi/