Ufafanuzi msingi wa irabu katika Kiswahili

: irabu1irabu2

irabu1

nominoPlural irabu

 • 1

  herufi ya alfabeti ambayo si konsonanti.

  ‘Irabu za Kiswahili ni a, e, i, o, u’
  vokali

Asili

Kar

Matamshi

irabu

/Irabu/

Ufafanuzi msingi wa irabu katika Kiswahili

: irabu1irabu2

irabu2

nominoPlural irabu

 • 1

  Sarufi
  aina ya sauti ya lugha inayotamkwa bila kuwapo na kizuizi chochote kwenye mkondo wa hewa kutoka mapafuni kupitia kinywani na puani.

 • 2

  herufi inayotamkwa kwa kusukuma nje hewa bila kuiwekea kikwazo.

  vokali

Asili

Kar

Matamshi

irabu

/Irabu/