Ufafanuzi wa ishara katika Kiswahili

ishara

nominoPlural ishara

  • 1

    alama yenye kuwakilisha au kuashiria kitu fulani.

    kielekezi, alama

  • 2

    ‘Hakuna ishara ya mvua’
    dalili, taashira, kielezo

Asili

Kar

Matamshi

ishara

/I∫ara/