Ufafanuzi wa ishi katika Kiswahili

ishi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika

 • 1

  kuwa na uhai.

  dumu

 • 2

  kaa katika tabia njema au mbaya.

  ‘Anaishi vibaya’

 • 3

  kuwa na maskani.

  ‘Anaishi Unguja’
  kaa

Asili

Kar

Matamshi

ishi

/I∫i/