Ufafanuzi wa isoghuna katika Kiswahili

isoghuna, sioghuna

nominoPlural isoghuna

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    hali ya utamkaji wa sauti bila mrindimo wa au kutikisika kwa nyuzisauti.

Asili

Kar

Matamshi

isoghuna

/Isɔɚuna/