Ufafanuzi wa isotopu katika Kiswahili

isotopu

nominoPlural isotopu

Kemia
  • 1

    Kemia
    mojawapo ya atomu za elementi zenye nambari sawa lakini uzani tofauti ingawa tabia zao za kikemia ni sawa.

Asili

Kng

Matamshi

isotopu

/Isɔtɔpu/