Ufafanuzi wa istilahi katika Kiswahili

istilahi

nominoPlural istilahi

  • 1

    neno linalowakilisha dhana fulani katika uwanja maalumu wa maarifa k.v. siasa, uchumi au hisabati.

Asili

Kar

Matamshi

istilahi

/Istilahi/